Afya

Naibu Waziri Aagiza Hospitali ya Mkoa iwe na hadhi ya Makao Makuu.

 
Na.Angela Msimbira
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mtaa Mhe Seleman Jafo ameuagiza uongozi wa Hospitali ya Mkoa wa Dodoma kufanya tathmini ya uhitaji wa majengo yanayofanana na Makao Makuu ya nchi ili hospitali hiyo iweze kuwa na hadhi ya kimataifa.
Naibu Waziri wa OR-TAMISEMI Mhe. Selemani Jafo (MB) akiteta jambo na watendaji wa Hospital ya […]