Afya

Serikali Kushirikiana na Wadau Kuimarisha Sekta ya Elimu nchini

 
Naibu Katibu Mkuu OR-TAMISEMI (Elimu), Ndugu Tixon Nzunda akizungumza hivi leo wakati wa kikao cha Wadau wa Elimu Kilichofanyika Mkoani Dodoma Katika Ukumbi wa Hazina wakati  kujadili Namna bora yakuboresha Elimu ya Mtanzania.
Na. Fred J.Kibano
TAMISEMI pamoja na Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kwa kushirikiana na Washirika wa Maendeleo leo wamekutana mjini Dodoma kufanya Tathmini ya utekelezaji wa Programu ya Lipa Kulingana na […]