Jafo Ateta na Wazee, Aiasa Jamii Isiwadhulumu Maisha.

Naibu  Waziri wa nchi, Ofisi ya Rais, TAMISEMI Selemani Jafo akizindua rasmi Maadhimisho ya siku ya wazee yaliyozinduliwa kitaifa katika viwanja cha Nyerere Square Mkoani Dodoma.
Na Atley Kuni- TAMISEMI
Naibu waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mh. Selemani Jafo, ameteta na Wazee nchini ikiwa ni siku ya maadhisho ya Wazee Duniani yaliyofanyika […]

Naibu Waziri Jafo- “Msifanye Masihara na Fedha za Uboreshaji Vituo vya Afya”

 
Naibu Waziri Ofisi ya Rais, TANISEMI  Selemani Jafo ((Mb) akisisitiza jambo alipokuwa akizungumza na wananchi mara baada ya kukagua Kituo cha Afya Kintinku wilayani Manyoni.
Na Atley Kuni- TAMISEMI.
Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Selemani Jafo ameonya vikali yeyote atakayethubutu kufanya Masihara na fedha za Serikali zilizotolewa kwa ajili ya uboreshaji wa Vituo Vya Afya […]