Wananchi Gairo Kupata Huduma Kwa Ukaribu.

Naibu Waziri Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI,  Selemani Jafo akizungumza katika uwekaji jiwe la msingi kwenye ujenzi wa jengo la Halmashauri ya wilaya ya Gairo mkoani Morogoro.
Na Atley Kuni- TAMISEMI
Kufuatia kuwekwa jiwe la msingi la ujenzi wa Halmashauri ya Gairo Mkoani Morogoro na Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Sulemani Jafo (Mb) lililofikia asilimia […]