Habari za mikoani

RC- Singida Ampa wakati Mgumu Mkurugenzi, atoa Siku 30, awe amejenga Choo.

Mkuu wa Mkoa wa Singida Dkt Rehema Nchimbi akizungumza na wananchi waliokuwa wamepanga foleni kulipa ushuru katika mnada wa Malendi Wilayani Iramba.
Na Grace Gwama RS- Singida.
Mkuu wa Mkoa wa Singida Dkt Rehema Nchimbi amempa mwezi mmoja Mkurugenzi wa halmashauri ya Wilaya ya Iramba, kujenga vyoo bora katika Mnada uliopo Kijiji cha Malendi, kata ya Mgongo Wilayani humo.
Dkt Nchimbi ametoa agizo hilo mara baada […]

Habari za mikoani

Watumishi Mkoa wa Geita Watakiwa Kutatua Kero Mbalimbali za Wananchi

Mheshimiwa Robert Gabriel Lughumbi Mkuu wa Mkoa wa Geita akimkabidhi hati ya pongezi kwa Utumishi wake uliotukuka Mheshimiwa Meja Jenerali Mstaafu aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Geita mapema hii leo
Na Magessa Jumapili- RS Geita.
Mkuu wa Mkoa wa Geita Robert Gabriel Lughumbi amewataka watumishi na watendaji wa Mkoa wa Geita kufanya kazi kwa juhudi kubwa ili kuleta maendeleo kwa wananchi.
Akizungumza katika hafla fupi […]

Habari za Kijamii

Halmashauri zaagizwa kutumia Miongozo inayotolewa na Serikali

 

Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Joseph Kakunda akitoa hotuba wakati wa Uzinduzi  wa vitabu wa mfumo wa ruzuku ya maendeleo ya serikali za mitaa.
Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa (OR-TAMISEMI) Mhe. Joseph Kakunda ametoa wito kwa Mamlaka za Serikali za mitaa zote nchini kuhakikisha miongozo ya Utekelezaji na […]

Habari za Kijamii

Waziri Jaffo amtaka kila Mkuu wa Mkoa kujenga Viwanda 100

 
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (TAMISEMI), Selemani Jafo katikati akizungumza na Wakuu wa mikoa wapya 6 walioapishwa na Rais Dkt. Dkt. John Pombe Magufuli leo Ikulu Jijini Dar es Salaam. Kulia ni Naibu Katibu Mkuu (TAMISEMI), Tixon Nzunda na kushoto ni Naibu Waziri (TAMISEMI), Josephat Kandege.
Na Ismail Ngayonga
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais (TAMISEMI), Seleman […]