Habari za mikoani

Wachimbaji wadogo Geita wageuka Kivutio kwa Mawaziri.

Mawaziri kutoka nchini Uganga pamoja na wataalamu wa madini wakifuatilia kwa karibu shughuli za uchimbaji mdogo zinavyofanyika katika Mgodi wa KADEO Limited uliopo kata ya Lwamgasa walipokwenda kujifunza uchimbaji Mdogo.
Na. Magesa Jumapili RS Geita.
Mawaziri wa nne wa Wizara za Madini, Uchumi, Mambo ya Ndani na Nje wa Serikali ya Jamhuri ya Uganda wamewasili Mkoani Geita kujifunza namna Serikali ya Tanzania ilivyofanikiwa […]

Habari za mikoani

Bil. 375 Kuiokoa Simiyu na Tatizo la Maji.

Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Mhandisi Isack Kamwelwe(katikati) akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Mkoa wa Simiyu na wadau wa Mradi wa kukabiliana na changamoto zitokanazo na Mabadiliko ya Tabianchi unaotekelezwa Mkoani humo mara baada ya ufunguzi wa kikao cha wadau hao kilichofanyika Mjini Bariadi.
Na Stella Kalinga, Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Simiyu.
Serikali ya Tanzania kwa kushirikiana na […]

Habari za mikoani

Vijana, Wanawake wa Mikindani wapokea Mil. 154

Mkuu wa Wilaya Mtwara Mh.Evod Mmanda (watano kutoka kulia)akikabidhi mfano wa hundi ya shilingi milioni 154,180,000 kwa Wajasiriamali,Wa pili kulia kutoka aliposimama Mkuu wa wilaya ni Mkurugenzi wa Manispaa Mtwara Mikindani bi Beatrice Dominic
Na. Jamadi Omari H/ Manispaa- Mtwara Mikindani
Halmashauri ya Manispaa Mtwara-Mikindani imeendelea kuneemesha vikundi vya wajasiriamali kwa kuwapatia mkopo wa shilingi milioni 154,180,000 kwa […]

Habari za mikoani

Hai Yamaliza Uchaguzi wa Madiwani Salama

Madiwani walioshinda katika Halmashauri ya Hai.
Na. Riziki Lesuya H/W Hai
MSIMAMIZI wa uchaguzi katika jimbo la Hai, mkoani Kilimanjaro , Ndugu Yohana Sintoo amesema kuwa zoezi la uchaguzi katika kata tatu zilizokuwa hazina uwakilishi limekamilika salama na kuwapata viongozi watakaowawakilisha wananchi kwenye kata husika.
Ndg Sintoo ameyasema hayo wakati akikabidhi vyeti kwa madiwani wateule watatu walioshinda kwenye uchaguzi mdogo uliofanyika Novemba 26 mwaka huu.
“Ndugu […]

Habari za mikoani

Wakazi wa Kijiji cha Lengijave Walia Gharama za Maji


Na. Elinipa Lupembe H/Arusha DC
Wakazi wa kijiji cha Lengijave kata ya Olkokola halmashauri ya Arusha Wilayani Arumeru wamekiri kuwa gharama wanazotumia kutafuta maji ni kubwa kuliko gharama halisi za kulipia maji zinazotozwa na Mamlaka za Maji zilizopo Kisheria.
Wamesema kuwa kijiji chao hakina utaratibu wa kulipia gharama za maji bali huchangishana pale inapotokea changamoto ya uharibifu wa miundombinu ya maji jambo […]

Habari za mikoani

Wauguzi Arusha Waaswa Kufanyakazi kwa Weledi

Baadhi ya Wauguzi katika Halmashauri ya Arusha DC wakiwa katika Kikao hicho
Na Sulbasia Evord H/W Arusha
Wauguzi halmashauri ya Wilaya ya Arusha wilayani Arumeru wametakiwa kuacha tabia ya kufanyakazi kwa mazoea na badala yake kufanya kazi wa weledi na zaidi kwa kuzingatia maadili ya fani ya Uuguzi na yale ya Utumishi wa Umma.
Hayo yamesemwa na Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri hiyo […]

Habari za mikoani

Geita Mji Yaanza kwa Kishindo Mashindano ya Olimpiki maalum.

Afisa Michezo wa Halmashauri ya Mji Geita Bi. Juliana Kimaro akiwasha Mwenge wa Olimpiki Maalum kuashiria uzinduzi wa mashindano hayo kwa Halmashauri ya Mji Geita.
Na Trovina Kikoti H/Mji Geita
Mashindano yanayowashirikisha wanafunzi na watu wenye ulemavu wa akili yanayofahamika kama Olimpiki maalum( special Olympics) yamefunguliwa rasmi katika Halmashauri ya Mji Geita ambapo wanafunzi wenye ulemavu kutoka katika shule tano zinazofundisha elimu maalum wanashiriki […]