Habari za mikoani

VETA Kujengwa Simiyu Kuanzia Machi 2018

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa. Joyce Ndalichako akizungumza na wananchi wa Kijiji cha Lagangabilili mara baada ya kufungua vyumba vya madarasa vilivyojengwa kupitia Mradi wa Lipa Kulingana na Matokeo (P4R) katika Shule ya msingi Lagangabilili wilayani Itilima Mkoa wa Simiyu.
 
Na Stella Kalinga, Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Simiyu
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa. Joyce Ndalichako amesema Serikali inatarajia kuanza ujenzi […]

Habari za mikoani

Geita Yang’ara Olimpiki Maalum Zanzibar.

 
Mkurugenzi-wa-Halmashauri-ya-Mji-Geita-Mhandisi-Modest-Apolinary-akimvika-medali-ya-dhahabu-mwanafunzi-Mathias-Donald-aliyeibuka-mshindi-wa-kwanza-kitaifa-katika-riadha
Na Trovina Kikoti H/Mji Geita.
Wanafunzi watano walioshiriki Mashindano yanayowashirikisha watu  wenye ulemavu wa akili yanayofahamika kama Olimpiki maalum( special Olympics) katika Mjini Zanzibar hivi karibuni wameibuka na ushindi ambapo wanafunzi watatu kutoka kwenye Shule tano zinazofundisha elimu maalum katika Halmashauri ya Mji Geita wamepata medali za dhahabu, shaba na fedha.
Mwanafunzi Mathias Donald kutoka Shule ya Msingi Mbugani amerejea na medali tatu ambapo aliibuka […]