Afya

Manispaa Yafikia Asilimia 93 Ujenzi wa Kituo cha Afya Likombe

 
Picha ikionesha Jengo la kulaza maiti (Mortuary)
Na Jamadi Omari Manispaa ya Mtwara Mikindani.

Hadi kufikia Disemba 31,2017 Manispaa ya Mtwara-Mikindani imefikisha asilimia 93 ya ujenzi wa miundombinu ya afya katika kituo cha afya likombe  na kugharimu kiasi cha fedha shilingi milioni  326,457,759.18 kati ya milioni 500 zilizotolewa na Serikali kuu kwa ajili ya ujenzi wa miundombinu hiyo.
Asilimia 7 iliyobaki inatarajia kukamilika baada ya wiki […]

Elimu

P4R Yafanya Vizuri Magufuli Sekondari: Prof. Ndalichako

 
Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia Profesa Joyce Ndalichako akizungumza na wananchi wa kijiji cha Bwanga wakati wa Ziara yake Magufuli Sekondari.
Na Magesa Jumapili- Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Geita
Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia Pro.Joyce Ndalichako amefanya ziara Wilayani Chato ya kuitembelea Shule ya Sekondari Magufuli na kukagua utekelezaji wa miradi ya lipa kulingana na matokeo(P4R) na kuridhishwa na shughuli zinazo endelea […]

Habari za mikoani

Mpina Aongeza Siku Zoezi la Upigaji Chapa Mifugo.

Na Stella Kalinga, Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Simiyu
Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe.Luhaga Mpina akizungumza na wananchi wa Kijiji cha Migato na vijiji jirani mara baada ya kuhitimisha zoezi la upigaji chapa mifugo Kitaifa lililofanyika kijijini hapo.
Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Luhaga Mpina ameongeza muda wa mwezi mmoja kwa Halmashauri hapa nchini kukamilisha zoezi la upigaji chapa mifugo na kuwataka […]