Habari Kitaifa

Mifumo na Miundombinu ya TEHAMA ya OR-TAMISEMI Yamkosha Katibu Mkuu OWM Prof. Kamuzora

Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Prof. Fausine Kamuzora, akipata Maelezo kutoka kwa Mtaalam wa TEHAMA wa OR-TAMISEMI, Antidius Anatory, wakati wa Ziara ya Kikazi katika Ofisi hiyo, jinsi Komputa Kuu inavyofanyakazi.
Mtaalam wa TEHAMA,¬† Melkiory Baltazary¬† Akifanya Mawasilisho kwa Katibu Mkuu kuhusu Mfumo wa GoTHoMis, wakati […]