Elimu

Rais Dkt.Magufuli Akutana na Mawaziri wa Elimu na TAMISEMI, Apiga Marufuku Michango Mashuleni


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amekutana na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhe.Selemani S.Jafo na Waziri wa Elimu ,Sayansi,Teknolojia na Ufundi Prof.Joyce L. Ndalichako Ikulu Jijini Dar es Salaam leo January 17,2018. Mhe.Rais amepiga marufuku aina yoyote¬† ya michango katika shule za Serikali za msingi na sekondari na […]