Video

Mhe.Masenza awataka walimu wa Mkoa wa Iringa kufuata Maagizo ya Serikali


Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mhe.Amina Masenza
Afisa Habari, Manispaa ya Iringa
Walimu wakuu wa shule za Msingi na Sekondari kutoka wilaya za Mkoa wa Iringa ambazo ni Manispaa, Iringa Vijijini na Kilolo wametakiwa kutochezea maagizo yanayotolewa na Serikali.
Kauli hiyo imetolewa leo na Mkuu wa mkoa wa Iringa Bi Amina Masenza alipokutana na walimu hao wakuu kufuatia kusimamia agizo lililotolewa na¬† Rais wa Jamuhuri […]