Habari za mikoani

Mbunge Sanda Awacharukia Wakandarasi wanao suasua Miradi wa Maji

Mh. Edwin Sannda akipokea maelezo kutoka kwa mmoja wa mafundi waliojenga kituo cha maji ikiwa ni moja ya miradi inayoendelea kujengwa Kondoa Mjini
Na Sekela Mwasubila- H/W Kondoa

Wakandarasi wanaotekeleza kazi ya kusambaza miundombinu ya maji katika Halmashauri ya Mji Kondoa wametakiwa kukamilisha miradi hiyo kwa wakati ili wananchi waanze kupata huduma ya maji safi na salama.
Hayo yalibainishwa na Mbunge wa Kondoa Mh. Edwin Sanda […]

Elimu

RC Iringa Awabebesha Kibarua Wasaidizi wake

Na. Ofisi ya Mkuu wa Mkoa
Wakuu wa Wilaya na Wakurugenzi wa Mamlaka za Serikali za mitaa mkoani Iringa watakiwa kusimamia utekelezaji wa maagizo ya Rais ya utoaji wa elimu bila malipo mkoani hapa.
Kauli hiyo imetolewa na mkuu wa Mkoa wa Iringa, Amina Masenza alipokuwa akiongea na walimu wakuu na wakuu wa shule katika kikao maalum cha kujiridhisha na utekelezaji wa maagizo ya Rais juu ya elimu bila malipo kilichofanyika katika shule ya sekondari Lugalo hivi karibuni.
“Niwaagize wakuu wa Wilaya kama […]

Elimu

Masenza Aamua Kutembea na Kauli ya Rais

Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Pichani akiongea na Wakuu wa Shule za Sekondari na Msingi Mkoani Iringa.
Na. Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Iringa
MKUU wa Mkoa wa Iringa Amina Masenza amewataka wakuu wa shule za sekondari na msingi kuthibitisha kwa barua iwapo kuna michango yeyote inayoendelea katika shule zao kinyume na maelekezo ya serikali.
Agizo hilo amelitoa leo katika kikao cha dharura na wakuu wa […]