Afya

Mkurugenzi, Watendaji Rombo Wamchefua Waziri Jafo

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, TAMISEMI Selemani Jafo akitoa maelekezo kwa watendaji wa Halmashauri ya Rombo
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, TAMISEMI Mhe. Selemani Jafo ameonyesha kukerwa na kutoridhishwa na kasi ya utendaji kazi wa Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Rombo na watendaji wake wa chini kwa kushindwa kwenda sambamba na kasi anayoitaka katika kuwaletea wananchi maendeleo.
Hali hiyo […]

Habari za mikoani

Wabunifu wa TEHAMA Kutatua Changamoto Mbalimbali Mkoani Mwanza

Mkuu wa Mkoa wa Mwanza pichani akiwa na na Viongozi wa COSTECH, wakati wa kikao hicho.
 
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. John Mongella amefungua kikao cha wabunifu wa Tehama katika kutatua baadhi ya ¬†changamoto zinazoukabili Mkoa wa Mwanza kilichofanyika katika Ukumbi Ofisi ya Mkuu wa Mkoa ikiwa ni juhudi zake za kukuza ubunifu na kukabiliana na changamoto mbalimbali nchini, […]