Elimu

RC Iringa Awabebesha Kibarua Wasaidizi wake

Na. Ofisi ya Mkuu wa Mkoa
Wakuu wa Wilaya na Wakurugenzi wa Mamlaka za Serikali za mitaa mkoani Iringa watakiwa kusimamia utekelezaji wa maagizo ya Rais ya utoaji wa elimu bila malipo mkoani hapa.
Kauli hiyo imetolewa na mkuu wa Mkoa wa Iringa, Amina Masenza alipokuwa akiongea na walimu wakuu na wakuu wa shule katika kikao maalum cha kujiridhisha na utekelezaji wa maagizo ya Rais juu ya elimu bila malipo kilichofanyika katika shule ya sekondari Lugalo hivi karibuni.
“Niwaagize wakuu wa Wilaya kama […]

Elimu

Masenza Aamua Kutembea na Kauli ya Rais

Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Pichani akiongea na Wakuu wa Shule za Sekondari na Msingi Mkoani Iringa.
Na. Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Iringa
MKUU wa Mkoa wa Iringa Amina Masenza amewataka wakuu wa shule za sekondari na msingi kuthibitisha kwa barua iwapo kuna michango yeyote inayoendelea katika shule zao kinyume na maelekezo ya serikali.
Agizo hilo amelitoa leo katika kikao cha dharura na wakuu wa […]

Video

Mhe.Masenza awataka walimu wa Mkoa wa Iringa kufuata Maagizo ya Serikali


Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mhe.Amina Masenza
Afisa Habari, Manispaa ya Iringa
Walimu wakuu wa shule za Msingi na Sekondari kutoka wilaya za Mkoa wa Iringa ambazo ni Manispaa, Iringa Vijijini na Kilolo wametakiwa kutochezea maagizo yanayotolewa na Serikali.
Kauli hiyo imetolewa leo na Mkuu wa mkoa wa Iringa Bi Amina Masenza alipokutana na walimu hao wakuu kufuatia kusimamia agizo lililotolewa na  Rais wa Jamuhuri […]

Elimu

Rais Dkt.Magufuli Akutana na Mawaziri wa Elimu na TAMISEMI, Apiga Marufuku Michango Mashuleni


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amekutana na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhe.Selemani S.Jafo na Waziri wa Elimu ,Sayansi,Teknolojia na Ufundi Prof.Joyce L. Ndalichako Ikulu Jijini Dar es Salaam leo January 17,2018. Mhe.Rais amepiga marufuku aina yoyote  ya michango katika shule za Serikali za msingi na sekondari na […]

Afya

TANGAZO LA UFADHILI-MARUDIO

Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto anawatangazia wanafunzi wote walioko vyuoni na wale wote waliopata udahili wa masomo ya Uzamili katika fani za Afya kwa mwaka wa masomo 2017/2018, kuwa muda wa kuwasilisha maombi umeongezwa hadi tarehe 19/01/2018. Ufadhili huu ni kwa ajili ya kulipiwa ada pamoja na posho ya utafiti pindi mwanafunzi anapokuwa kwenye kipindi cha kufanya utafiti kama sehemu ya mafunzo yake. Kwa wanafunzi waliokwisha wasilisha maombi yao, hawatakiwi kuomba upya.
Vigezo vilivyowekwa […]