Habari za mikoani

Mganga Mkuu Kituo cha Afya Mtimbira apongezwa

Ujenzi wa Korido ya Kituo cha Afya Mtimbira ukiendelea.
Na. Mwandishi wetu Malinyi
Mkurugenzi Mtendaji  wa Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi Marceline Ndimbwa amempongeza Mganga Mkuu wa Kituo cha Afya Mtimbira kwa kusimamia vizuri ujenzi na ukarabati wa Kituo cha Afya Mtimbira.
Aliyasema hayo wakati wa ziara yake ya kukagua ukarabati na ujenzi unaoendelea katika Kituo hicho cha Afya lengo likiwa ni kujiridhisha […]

Habari za mikoani

Geita DC yapitisha Bilioni 77.6  Mwaka wa fedha2018/2019

Baraza la madiwani Halmashauri ya wilaya ya Geita limepitisha makadirio ya bajeti ya matumizi ya mwaka wa fedha 2018/2019 kiasi cha shilingi bilioni 77,673,234,821. Ikiwa ni ongezeko la shilingi bilioni 1,173,780,082.13sawa na asilimia 1.5 %kutoka katika bajeti ya mwaka wa fedha 2017/2018 kiasi cha shilingi bilioni 76,499,454,738.87, iliyotengwa.
Akisoma bajeti hiyo mbele ya kikao Mweka Hazina Wilaya ya Geita ndugu Rumoka E Buholela kwa niaba ya Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Geita amesema katika bajeti hiyo shilingi bilioni 18,040,010,550/= ambazo […]

Habari za mikoani

RITA Watua Simiyu, Watoto Chini ya Miaka 5 Kupatiwa Vyeti

Kaimu Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini Tanzania (RITA) Bi.Emmy Hudson akizungumza na viongozi wa Mkoa wa Simiyu wakati wa ufunguzi wa Semina ya Viongozi hao yenye lengo la kuwapa uelewa wa kina juu ya mpango maboresho ya usajili na kutoa vyeti vya kuzaliwa kwa watoto wenye umri wa chini ya miaka mitano, iliyofanyika jana Mjini […]

mikoani

RC Mtaka, Ataka Bil.44   Sekta ya Afya Mkoani humo kutoa matokeo Chanya

Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mhe.Anthony Mtaka akizungumza na viongozi, watendaji katika Sekta ya Afya pamoja na wadau mbalimbali wa Afya mkoani humo katika kikao maalum kilichofanyika kwa lengo la kutathmini mchango wa wadau wa Afya(mashirika mbalimbali yanayofanya kazi na mkoa huo) ambacho kilichofanyika Mjini Bariadi.
Na Stella Kalinga, Simiyu
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mhe. Anthony Mtaka amewataka wadau na […]