Mafunzo

FMO’s Wakumbushwa Utendaji wao

 
Dkt. Charles Mhina Mkurugenzi wa Idara ya Serikali za Mitaa wakati akifungua Semina ya Maafisa usimamizi wa fedha wa ngazi ya Mikoa (FMOs) katika Ukumbi wa OR TAMISEMI pembeni ni Mkurugenzi wa TEHAMA OR TAMISEMI Ndg. Erick Kitali.
Na Atley Kuni- TAMISEMI
Maafisa Usimamizi wa Fedha (Finance Management Officers – FMOs) kutoka Sekretarieti za Mikoa yote ya Tanzania Bara wamesisitizwa kuwa jicho la usimamizi wa […]

Afya

RC Pwani Aipongeza Bagamoyo kwa Ujenzi wa Kituo cha Afya cha Mfano

Afisa Habari, Bagamoyo
Mkuu wa Mkoa wa pwani Mhe. Evarist Ndikilo ametoa pongezi hizo akiwa katika kituo kipya cha Afya Kerege, mapema leo alipokuwa kwenye ziara maalum ya kutembelea na kukagua  ujenzi wa miundombinu ya  Afya iliyojengwa ndani ya Mkoa wa Pwani, chini ya utaratibu wa Serikali wa kutoa jumla ya Tshs. Mil 500 kwa baadhi ya Vituo vya Afya katika Halmashauri  ili kuboresha miundo mbinu ya Afya.
 
Katika ziara hiyo Mhe. Ndikilo amepata fursa ya kujionea dhahiri namna ambavyo uongozi wa […]

Elimu

Serikali Kuboresha Elimu ya Watoto wenye mahitaji maalum

Na Fred J. Kibano
Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais TAMISEMI anayeshughulikia Elimu, Tixon  Nzunda amefungua mafunzo kwa walimu wa shule zenye  wanafunzi wenye mahitaji maalumu  , Maofisa wa Ustawi wa Jamii na  Maofisa Elimu Maalum ngazi za wilaya na Mikoa yote ya Tanzania Bara.
Akifungua mafunzo hayo ya siku sita mjini Morogoro, Naibu Katibu Mkuu (ELIMU) TAMISEMI, Tixon  Nzunda, amesema  Ofisi ya Rais TAMISEMI imepanga kufanya  zoezi  maalumu la kuwatambua watoto wenye ulemavu wa aina tofauti  ili  watabuliwe  kwa ajili ya kupata afua sahihi na mahitaji maalumu  ya kielimu  mashuleni.
Amesema mafunzo   hayo maalum  yamelenga kuwapatia mbinu mbalimbali […]

Elimu

Kakunda Apongeza Taasisi Zilizoteleleza Mradi Wa Fursa Kwa Watoto

Nteghenjwa Hosseah, OR-TAMISEMI
Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. George Kakunda amezipongeza Taasisi za Children in Crossfire pamoja na TAHEA kwa utekelezaji mzuri wa mradi wa fursa kwa watoto.
Mhe. Kakunda ameyasema hayo wakati akifunga mradi wa fursa kwa watoto unaotekelezwa na kuratibiwa na Taasisi ya Children in Crossfire kwa kushirikiana na TAHEA katika Mkoa wa Mwanza na Maarifa ni ufunguo katika Mkoa wa Kilimanjaro.
Continue Reading