Habari za Wizara

Serikali yaagiza wamachinga watengewe maeneo ya kufanyia biashara

 
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Selemani Jafo akiongea na wamachinga wakati wa kufungua Mkutano Mkuu wa Shirika la umoja wa wamachinga Tanzania- SHIUMA leo uliofanyika katika ukumbi wa shule ya Sekondari Dodoma, Jijini Dodoma.
NA. Angela Msimbira  OR -TAMISEMI
Wakuu wa Wilaya wameagizwa kuzisimamia halmashauri nchini kuhakikisha kuwa zinatenga maeneo maalum ya […]

Afya

Wataalam kada ya Afya Watakiwa kuzingatia sheria na Uwajibikaji

Na. Fred Kibano
Naibu Katibu Mkuu (Afya), Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR TAMISEMI), Dkt. Zainab Chaula amewaasa Wataalam wa Afya katika Mikoa na Halmashauri kufanya kazi kwa kuzingatia uwajibikaji, kanuni, sheria, miongozo, pamoja na uadilifu katika mazingira yao ya kazi.
Dkt. Chaula ameyasema hayo wakati wa kuhitimisha mafunzo ya Wataalam hao wa kada ya afya nchini yaliyofanyika kwa makundi kuanzia 21 hadi tarehe 28 Mei katika ukumbi wa Chuo Kikuu cha Mipango Jijini Dodoma.
Amesema wananchi wanahitaji […]

Habari za Wizara

Waziri Jafo Agomea gharama za Jengo la Maabara Mafinga

Waziri Jafo akiwa na baadhi ya viongozi wa mkoa wa Iringa pamoja viongozi na watendaji wa wilaya ya Mufindi na Halmashauri ya Mafinga katika ukaguzi wa Miradi
Na. Mwandishi wetu
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Selemani Jafo amegomea gharama za Jengo la maabara linalojengwa katika hospitali ya wilaya ya Mafinga chini ya  ufadhili wa USAID. 
Hali hiyo ilijitokeza […]

Habari za Wizara

Jafo Akerwa na Ujenzi wa Madarasa, Hombolo


Angela Msimbira, OR-TAMISEMI
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Seleman Jafo amekerwa na kiwango duni cha zege lililotumika katika ujenzi wa sakafu ya madarasa ya Shule ya Sekondari Hombolo ambayo mpaka sasa yameanza kuweka ufa kabla ya kuanza kutumika.
Jafo ameonyesha kukerwa huko wakati alipokagua shule hiyo mapema leo kuona maendeleo ya […]

Habari za mikoani

Serikali Yawatahadharisha Wahandisi wa Maji

Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhandisi Isaack Kamwelwe akisisitiza jambo kwa wataalamu alipotembelea mradi wa maji Iyula halmashauri ya Mbozi, kushoto kwake ni Kaimu Katibu Tawala Msaidizi Sehemu ya maji Mkoa wa Songwe Mhandisi Tanu Deule
Na Grace Gwama- Songwe RS
Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhandisi Isaack Kamwelwe ametahadharisha kuwafukuza kazi na kuwashitaki wahandisi wa serikali wanaokosa uzalendo na kuhujumu […]

Habari za mikoani

Walemavu Kisarawe kupatiwa Bima ya CHF iliyoboreshwa


Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, TAMISEMI Selemani Jafo 
akizungumza na wananchi wa Kisarawe.


Baadhi ya watu wenye ulemavu  waliokabidhiwa vifaa wezeshi.


 Baskeli za watu wenye ulemavu walizokabidhiwa.

Baadhi ya wananchi wa Kisarawe walio hudhuria mkutano wa ugawaji wa
vifaa wezeshi vya walemavu.

Wilaya ya Kisarawe huenda ikawa wilaya ya mfano hapa nchini […]