Habari za Wizara

Mkurugenzi aridhishwa na kasi ya ujenzi wa vituo vya afya nchini

Mkurugenzi wa Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe , Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Dr. Ntuli Kapologwe akikagua moja ya jengo la upasuaji leo katika ziara ya ukaguzi wa mendeleo ya ujenzi katika kituo cha afya cha Mudemu kilichopo katika Halmashauri ya Wilaya ya Bahi, Jijini Dodoma.
NA. Angela Msimbira OR-TAMISEMI
Mkurugenzi wa Huduma […]

Habari za Wizara

Makadirio ya ujenzi wa chumba cha kuifadhia maiti Murriet kupitiwa upya

 Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Josephat Kandege akitoa maelekezo leo wakati alipotembelea kituo cha afya cha Murriet kilichopo katika Halmashauri ya Wilaya ya Arusha kuona maendeleo ya ujenzi wa kituo hicho.
Na. Angela Msimbira OR-TAMISEMI
Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Josephat Kandege amemtaka […]