Habari za Wizara

Mfumo wa uhasibu kuongeza uwazi na uwajibikaji katika halmashauri


Mkurugenzi Msaidizi anayeshughulikia TEHAMA kutoka Ofisi ya Rais TAMISEMI bwana Baltazar Kibola, akizungumza wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya Mfumo wa Epicor toleo la 10.2 kwa Wahasibu na WawekaHazina kutoka Mikoa ya Morogoro, Iringa  na Halmashauri za Jiji la Tanga, Muheza na Korogwe
Serikali imesema kuwa maboresho iliyoyafanya kwa kushirikiana na Mradi wa PS3 ya kuwa na mfumo mmoja […]

Elimu

Jafo apiga marufuku mamluki kushiriki UMISSETA na UMITASHUMTA


Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe.Selemani Jafo akizungumza na waandishi wa habari kuhusu kuanza kwa mashindano ya UMISSETA iliyoanza leo katika viwanja vya chuo cha Ualimu Butimba kilichopo jijini Mwanza.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe.Selemani Jafo amewataka Wakuu wa Mikoa kuhakikisha kuwa mikoa […]

Habari za Wizara

Naibu Waziri apongeza usimamizi wa ujenzi wa vituo vya afya Arusha

 
 Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Josephat Kandege akikagua jengo akikagua ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Jiji la Arusha .
Na Angela Msimbira OR-TAMISEMI
Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Josephat Kandege amepongeza usimamizi mzuri uliofanyika katika ukarabati na ujenzi wa vituo […]