Habari za Wizara

Wananchi waipongeza Serikali kwa ujenzi wa Vituo vya afya Nchini.

 
 
 
 Mganga Mkuu wa Jiji la Dodoma Dkt.James Kiologwe akifafanua jambo kwa Kamati ya Ujenzi wa Kituo cha Mlali leo wakati wa ziara ya ukaguzi wa maendeleo ya ujenzi wa vituo vya afya, Jijini Dodoma.
Na. Angela Msimbira OR-TAMISEMI
Wananchi wa Haashauri ya Wilaya ya Kongwa, Jijini Dodoma wamemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.¬† John Pombe Magufuli kwa ujenzi […]