Habari za Wizara

Naibu Katibu Mkuu OR TAMISEMI Awapa Kongole Masasi kwa Kituo cha Afya


“Wahenga walisema kilio lia na mwenyewe, mlilia, tukasikia, na kutokana na kilio chenu tukaja tulie pamoja na hatimaye zikaletwa fedha  shilingi milioni 400 kwa ajili ya  upanuzi wa kituo cha afya cha Nagaga na majengo yanaonekana, nawapongeza”   alieleza  Naibu Katibu Mkuu  OR- TAMISEMI  Dr. Zainabu Chaula wakati alipotembelea utekelezaji wa mradi wa  upanuzi wa kituo cha afya Nagaga unaolenga kukifanya kituo hicho kutoa huduma bora kwa wananchi wa  Kata ya Namalenga na vijiji […]

Habari za mikoani

RC Dodoma, Waziri wa Uganda Waweka Mikakati ya Kiuchumi

Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi wa Uganda Mhe. Monica Azuba Ntege (kulia) akitia saini kitabu cha wageni mapema leo alipomtembelea Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dkt. Binilith Mahenge (hayupo pichani) ofisini kwake kwa mazungumzo mafupi, wengine ni maafisa wa Wizara hiyo kutoka Uganda.
Na. Jery Mwakyoma RS Dodoma
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dkt. Binilith Mahenge leo Juni 6, 2018 amekutana […]