Afya

Serikali yaagiza Kutolewa Huduma za Afya Kituo cha Afya Majengo, Nanyamba

 
 
Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais TAMISEMI Dkt. Zainab Chaula, akikagua tanki la kuhifadhia maji ya mvua yatakayokuwa yakivunwa kwenye majengo ya kituo cha afya. Kulia kwake ni Dkt. Merina Njelekela toka Mradi wa USAID Boresha Afya na kushoto kwake ni Dkt. Wedson Sichalwe, Mganga Mkuu wa Mkoa wa Mtwara
Na. Fred Kibano
Serikali imeagiza kuanza kutolewa kwa huduma za afya […]

Habari za Wizara

Epicor 10.2 Kuongeza Uwajibikaji, Tija

Ndugu Emmanuel Richard mhasibu wa wa halmashauri ya Wilaya ya Bariadi,
akifanya mahojiano na Atley Kuni Afisa habari OR TAMISEMI
jijini Mwanza wakati wa Mafunzo ya Epicor 10.2 (Picha na Gladys Mkuchu-PS3).
Na: Atley Kuni- OR TAMISEMI
Waweka hazina pamoja na wahasibu kutoka katika halmashauri za mikoa ya Mwanza na Simiyu wanaoendelea na mafunzo ya mfumo wa Uhasibu na uandaaji wa taarifa (Epicor 10.2) […]

Afya

Kuweni Wabunifu Muongeze Mapato ya Vituo vya Afya – Chaula

 
Naibu Katibu Mkuu Afya Ofisi ya Rais TAMISEMI, Dkt. Zainab Chaula akiongea na baadhi ya watumishi wa kada ya afya Manispaa na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mtwara katika kituo cha afya Likombe mkoani Mtwara
Na. Fred Kibano
Naibu Katibu Mkuu anayeshughulikia Afya, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR TAMISEMI), Dkt. Zainab Chaula, amewaasa wataalam wa […]

Habari za Wizara

Wanawake washiriki kujenga Wodi ya mama na mtoto – Chemba

Jengo la Mama na Mtoto liliojengwa katika Kituo cha afya cha Hamai, kilichopo katika Kata ya Songolo, Wilaya ya Chemba Mkoani Dodoma.
Na.Angela Msimbira OR-TAMISEMI
Wanawake wa Kata ya Songolo, katika Wilaya ya Chemba Mkoani Dodoma wamejitoa katika ujenzi wa jengo la Mama na Mtoto lililojengwa katika kituo cha afya cha Hamai kilichopo katika Wilaya hiyo kwa lengo la kuchangia nguvukazi […]