Elimu

UMISSETA kufanyika Dodoma mwakani

Na Mathew Kwembe, Mwanza
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa ametangaza kuwa mashindano ya michezo ya Umoja wa Michezo wa Shule za Msingi Tanzania (UMITASHUMTA) na Umoja wa Michezo ya Shule za Sekondari Tanzania (UMISSETA) yatafanyika mkoani Dodoma.
Kwa miaka mitatu mfululizo mashindano hayo yamekuwa yakifanyika mkoani Mwanza katika viwanja vya chuo cha ualimu Butimba.
Akifungua rasmi mashindano ya UMISSETA na UMITASHUMTA kwa mwaka huu katika uwanja wa CCM Kirumba jana Waziri Mkuu alisema kuwa pamoja na mkoa wa […]

Habari za Wizara

Chuo cha Serikali za Mitaa Hombolo chatakiwa kujitangaza

Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa mhe. Josephat Sinkamba Kandege akionyeshwa mandhari ya Chuo na Mkuu wa Chuo cha Serikali za Mitaa Hombolo Dkt. Madale Rector alipofanya ziara ya kutembelea chuo hicho hivi karibuni.
Na. Angela Msimbira OR-TAMISEMI
Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Joseph Sinkamba Kandege amekitaka […]

Habari za Wizara

Jafo Apongeza ujenzi wa Kituo cha Afya Wanging’ombe


 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
(Tamisemi) Selemani Jafo akisalimiana na wanakijiji wa kijiji cha 
Palangawanu mkoani Njombe.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi)
Selemani Jafo akikagua wa Kituo cha Afya Palangawanu.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa […]

Elimu

Mashindano ya UMISSETA yaendelea jijini Mwanza

Na Mathew Kwembe, Mwanza
Mashindano ya UMISSETA yanayoendelea katika viwanja vya Chuo cha Ualimu Butimba na Shule ya Sekondari Nsumba yanatarajiwa kufunguliwa rasmi na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Kassim Majaliwa mnamo tarehe 9 juni 2018 katika uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza.
Hadi kufikia jana mashindano hayo yameshuhudia michezo mbalimbali ikichezwa katika viwanja vya Nsumba na Butimba ambapo jumla ya mikoa 28 inashiriki mashindano hayo
 
Continue Reading

Elimu

Mikoa ya Iringa na Kagera yatamba fainali riadha maalum

Na Mathew Kwembe, Mwanza
Washiriki wa mchezo wa riadha maalum kwa mbio fupi kutoka mikoa ya Iringa na Kagera wametamba katika mashindano ya UMISSETA yaliyofanyika jana katika viwanja vya Butimba baada ya kushika nafasi tatu za juu kutoka mikoa hiyo.
Katika mchezo wa riadha maalum hatua ya fainali kwa mbio fupi za mita 100, washiriki wawili kutoka mkoani Iringa ambao ni Mathias Peter aliyetumia sekunde 12: 72 na Sudy Bakari aliyetumia sekunde 13:20 ambao kwa pamoja waliibuka kidedea kwa kushika nafasi ya […]