Afya

Chaula aagiza kukamilishwa boma la kituo cha afya Mkunya Newala Mji

Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais TAMISEMI, Dkt. Zainab Chaula (wa katikati) akitoa maelekezo kwa watendaji wa Halmashauri ya Mji Newala kukamilisha kituo cha afya Mkunya. Timu za Ofisi ya Rais TAMISEMI, Wizara ya Afya, Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mtwara na Wadau wa USAID boresha Afya walishiriki ziara hiyo
Na. Fred Kibano
Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais TAMISEMI (Afya), […]