Mafunzo

Mfumo wa Epicor 10.2 Kudhibiti Upotevu wa Mapato ya Serikali

 
Wataalam wa fedha waliohudhuria mafunzo ya mfumo wa fedha ‘epicor 10.2 kutoka mikoa ya Lindi, Mtwara, Dar es Salaam, Ruvuma na Pwani wakiwa katika picha ya pamoja na wawezeshaji kutoka Ofisi ya Rais TAMISEMI na Mradi wa Uimarishaji Mifumo Umma (Public Sector Systems Strengthening – PS3) chini ya Shirika USAID.
Na. Fred Kibano
Mafunzo ya mfumo wa fedha wa kielektroniki wa […]

Habari za Wizara

Wahasibu, Waweka Hazina Watakiwa Kutumia TEHAMA Kusimamia Fedha za Maendeleo

Mkurugenzi wa Idara ya TEHAMA kutoka Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Bw. Erick Kitali akisisitiza umuhimu wa kuzingatia maadili kwa waweka hazina na wahasibu wa mikoa ya Njombe, Songwe, Katavi na Mbeya wakati akifungua awamu ya pili ya mafunzo ya matumizi ya mfumo wa Epicor 10.2 yanafanyika jijini Mbeya.
Na: Frank Mvungi- MAELEZO, Mbeya
Serikali imewaagiza […]

Habari za Wizara

Waweka Hazina, Wahasibu Watakiwa Kuzingatia Matumizi Sahihi ya Fedha

Mkurugenzi Msaidizi Idara ya TEHAMA, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Bw. Bartazal Kibola akifungua mafunzo ya mfumo wa malipo (epicor 10.2) kwa Waweka Hazina na Wahasibu (hawapo pichani) kutoka Halmashauri za Mikoa ya Arusha na Manyara, leo Jijini Dodoma.
Na:  Lilian Lundo – MAELEZO, Dodoma.     
Waweka Hazina na Wahasibu kutoka Mamlaka za Serikali za Mitaa nchini […]

Habari za Wizara

Halmashauri zaagizwa kuitumia vizuri mifumo ya kielektroniki

Na Mathew Kwembe, Kagera
Watendaji wa Halmashauri nchini wameagizwa kuitumia vizuri mifumo mbalimbali ya kielektroniki iliyowekwa na Serikali kwa kushirikiana na Mradi wa PS3 katika halmashauri zote 185 nchini ili mifumo hiyo iweze kufanya kazi yake kwa malengo yaliyokusudiwa.
Agizo hilo limetolewa leo na Katibu Tawala wa Mkoa wa Kagera Kamishna wa Polisi Diwani Athuman wakati akifungua mafunzo ya siku nne ya Mfumo wa Epicor toleo la 10.2 kwa Waweka hazina, Wahasibu na Maafisa Wasimamizi wa Fedha kutoka Mikoa ya Mara na […]

Afya

Ubalozi Wa Kuwait Watoa Msaada Hospitali Ya Vijibweni


Ubalozi wa Kuwait umekabidhi zawadi ya vifaa tiba katika Hospitali ya Wilaya ya Kigamboni ya Vijibweni vyenye thamani ya shilingi milioni 12 za kitanzania ikiwa ni utekelezaji wa  mwanzo wa ushirikiano mzuri baina ya Kigamboni na Taifa la Kuwait.
Akizungumza jana kwenye mapokezi ya vifaa tiba hivyo Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni Mhe.Mgandilwa ameshukuru kwa zawadi hizo alizozitoa  Balozi […]

Habari za mikoani

“Hongereni kumaliza mradi kwa wakati” – Mwenyekiti Kondoa Mji

Afisa Mipango Kondoa Mji Kaunga Amani akinawa mkono katika moja ya kituo cha kuchotea maji katika mtaa wa Tura.

Na.Sekela Mwasubila – Kondoa Mji

Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji Kondoa Mhe. Hamza Mafita amewapongeza wakandarasi wanaotekeleza miradi ya usambazaji wa miundombinu ya maji Kondoa Mjini kwa kukamilisha miradi hiyo kwa kiwango cha hali ya juu na wakati.

Alizitoa pongezi hizo wakati wa […]