Elimu

Kakunda ahimiza halmashauri ziwekeze kwenye michezo

Na Mathew Kwembe, Mwanza
Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI anayeshughulikia elimu Mhe. Joseph Kakunda amesema wakati umefika sasa kwa Halmashauri kupitia mabaraza yao ya madiwani kutenga fedha kwenye bajeti zao kuwekeza kwenye sekta ya michezo.
Mhe.Kakunda ameyasema hayo hivi karibuni jijini Mwanza kwenye ufunguzi wa mashindano ya UMISSETA na UMITASHUMTA ambapo alieleza kuwa halmashauri kupitia mabaraza ya madiwani zina fursa ya kuwekeza kwenye michezo kwani ni njia mojawapo ya kuinua uchumi wa halmashauri zao na taifa.

Habari za Wizara

OR TAMISEMI, PS3 Wapongezwa kwa Mifumo

Emelda Malima mhasibu Mwezeshaji, akitoa msaada wa kitaalam wakati wa mafunzo ya Epicor 10.2, yanayo endeshwa na OR TAMISEMI chini ya ufadhili wa mradi wa PS3 jijini Mwanza (Picha na Atley Kuni)
Na. Atley Kuni – OR-TAMISEMI
Washiriki wa mafunzo ya Mfumo wa Epicor 10.2 katika kituo cha Mwanza, wamepongeza Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa pamoja […]