Mafunzo

PS3 yaombwa iende mikoa yote Tanzania Bara

Afisa TEHAMA wa OR TAMISEMI Mfaume Mnokote akiwasilisha mada ya matumizi ya dawati la dharura kwa washiriki wa mafunzo ya mfumo wa Epicor 10.2 jijini Mwanza
Atley Kuni na Glady Mkuchu – Mwanza
Washiriki wa mafunzo ya mfumo wa Epicor 10.2 kutoka mikoa ambayo haitekelezi Mradi wa Uimarishaji Mifumo ya Sekta za Umma (PS3), wameiomba Serikali ione namna itakavyoweza kukaa na […]

Habari za Wizara

Viongozi wa Serikali za Mitaa kuweni chachu ya Mabadiliko, Nzunda

¬†Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa Mhe. Jabir Shekimweri akichangia mada kwenye warsha ya namna ya Uendeshaji wa mabaraza ya Biashara kwa Mikoa na Halmashauri zote nchini iliyoandaliwa na Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa kwa kushirikiana na Ofisi ya Waziri Mkuu pamoja na Mradi wa Local Investiment Climate (LIC) iliyofanyika kwa siku mbili katika ukumbi […]