Mafunzo

Maafisa TEHAMA Wanolewa Mfumo wa Epicor

Na. Fred Kibano
Maafisa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano wanapatiwa mafunzo ya mfumo wa kielektroniki wa epicor ikiwa ni mwendelezo wa mafunzo hayo baada ya kutolewa kwa wahasibu, waweka hazina na maafisa manunuzi.
Baadhi ya washiriki wa mafunzo ya epicor 10.2 wakifuatilia mada kwa makini kuhusu maboresho ya mfumo wa epicor, mafunzo hayo yahusiha washiriki kutoka mikoa ya Lindi, Mtwara, Pwani, […]

Habari za Wizara

Tufanye Kazi Kama Ibada, Jafo

Nteghenjwa Hosseah, OR-TAMISEMI.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Selemani Jafo amewataka Watumishi kufanya kazi kama sehemu ya ibada ili waweze kutoa huduma stahiki kwa Wananchi na hatimaye kupata  thawabu kwa Mwenyezi Mungu.
Jafo ameyasema hayo wakati ¬†wa futari maalumu ya pamoja iliyofanyika kwenye viwanja vya Wizara jioni ya leo kwa Viongozi wa Serikali, Wafanyakazi wa Wizara, Taasisi zilizochini ya Wizara, Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Halmashauri ya Jiji la Dodoma, Taasisi […]