Habari za Wizara

Wahudumu ya afya ya jamii Mkoani Simiyu wanolewa


Na.Angela Msimbira OR-TAMISEMI
Mratibu wa mradi wa RMNCAH- UNFPA Idara ya Afya Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI) Bi. Dinah Atinda amesema wahudumu wa ngazi za jamii wanajukumu kubwa la kutoa elimu, habari na unasuhi wa awali kwa wanawake wajawazito.
Ameyasema hayo wakati akifungua¬† mafunzo ya siku saba kwa wahudumu wa afya ya Jamii Mkoani Simiyu […]