Habari za Wizara

Kandege apongeza ujenzi wa Kituo cha Afya cha Chamwino

 Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Josephat Sinkamba Kandege akitoa maagizo kwa uongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino kwenye ziara ya kukagua miundombinu ya Kituo cha afya cha Chamwino kilichopo katika Jiji la Dodoma.
Angela Msimbira OR-TAMISEMI Dodoma
Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe.  […]

Habari za mikoani

Mil. 400 Kuboresha Miundombinu Kituo Cha Afya Uyovu, Bukombe

Tusa Daniel, Bukombe
Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe imepokea jumla ya Tsh.400,000,000/= kutoka Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa kupitia udhamini wa Benki ya Dunia kwa ajili ya maboresho ya Kituo cha Afya Uyovu ili kiweze kutoa huduma ya upasuaji wa dharura kwa kinamama wajawazito. Hii ikiwa ni awamu ya pili ya mpango wa Serikali wa maboresho ya vituo vya kutolea huduma za Afya.
Fedha hizi zimelenga kujenga Wodi ya Wazazi (Maternity ward) 1, Wodi ya Watoto (Paediatric […]

Habari za Wizara

Jiji la Dodoma latakiwa kuboresha Miundombinu ya ukusanyaji taka.


Angela Msimbira –OR TAMISEMI Dodoma
Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Josephat Sinkamba Kandege ameiagiza Halmashauri ya Jiji la Dodoma kuboresha miundombinu ya ukusanyaji taka kuanzia ngazi ya Kaya, Mitaa na Kata ili kudumisha usafi wa Mazingira  katika Jiji hilo.
Ameyasema hayo alipotembelea leo Dampo la Kisasa la Chidaya lililopo katika kata ya […]