Habari za Wizara

Kandege akerwa na kasi ndogo ya ujenzi wa kituo cha afya Hombolo

Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Josephat Sinkamba Kandege akikagua miundombinu ya Kituo cha Afya cha Hombolo kilichopo katika Halmashauri ya Jiji la Dodoma.
Angela Msimbira OR-TAMISEMI Dodoma
Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe Josephat Sinkamba Kandege amesema kuwa hajarizishwa na kasi ya ujenzi wa […]