Habari za Wizara

Busega wapongeza ujenzi wa miundombinu ya kituo cha afya Nasa

 

Jengo la Upasuaji lilojengwa katika Kituo cha afya cha Nasa Kilichopo katika Halmashauri ya Wilaya ya Busega Mkoani Simiyu.

 

Angela Msimbira OR-TAMISEMI Simiyu

 

Wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Busega Mkoani Simiyu wameishukuru Serikali kupitia Shirika lisilo la Kiserikali la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Ongezeko la watu Duniani UNFPA na KOIKA kwa kujenga jengo la Upasuaji, Wodi ya Wazazi, Nyumba ya […]