Afya

TAMISEMI na Wizara ya afya Kuboresha takwimu za mifumo sekta ya afya

Na Fred Kibano
Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais TAMISEMI, Dkt. Zainab Chaula ameongoza kikao kazi kati ya Ofisi ya Rais TAMISEMI na Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kuhusu utengenezwaji wa mtandao wa takwimu za Sekta ya afya na mapitio ya mkakati wa uimarishaji ufuatiliaji na tathmini katika sekta ya afya.
Dkt. Chaula amesisitiza matumizi ya takwimu sahihi ili kuboresha sekta hiyo muhimu nchini.
Baadhi ya washiriki wamesema takwimu za afya zitasaidia kujua hudumazinazotolewa ikiwa ni pamoja na […]

Habari za mikoani

Serikali Yataka Halmashauri kubuni miradi ya Kimkakati

Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji akionesha risiti ya EFD baada ya kununua chaki za Maswa mkoani Simiyu, baada ya kutembelea kiwanda cha chaki akiwa na Viongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa na CCM wilaya ya Kondoa kwa lengo la kujifunza mkoa wa Simiyuunavyotekeleza sera ya viwanda.
Na Stella Kalinga, Simiyu
Naibu Waziri wa Fedha na […]