Habari za mikoani

Dkt. Tulia Kupamba Simiyu Festival 2018

Na Stella Kalinga, Simiyu RS
Mkuu wa mkoa wa Simiyu, Mhe. Anthony Mtaka akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake leo kuhusu, Simiyu Jambo Festival inayotarajiwa kufanyika Julai 08, 2018 mjini Bariadi.
Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mhe.  Dkt. Tulia Ackson anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika tukio kubwa linalojulikana kwa jina la Simiyu Jambo Festival, ambalo linatarajiwa kufanyika Julai 8 […]