Elimu

Wanafunzi Waaswa kuzingatia Masomo Kujenga Jamii Bora

Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR TAMISEMI) Mhe. George Kakunda, akisikiliza na kufuatilia kwa umakini onyesho la umahiri wa wanafunzi katika somo la Fizikia.
Na Fred Kibano
Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR TAMISEMI) Mhe. George Kakunda, amewaasa wanafunzi wa kike katika shule za sekondari nchini kusoma […]

Michezo

KAKUNDA AAGIZA TARURA KUJENGA BARABARA ZA VIVUTIO VYA UTALII

Na. Fred Kibano
Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR TAMISEMI) Mhe. George Kakunda, ameuagiza Wakala wa Barabara za Mijini na Vijijini (TARURA), kuweka mipango ya kuboresha barabara zote zinazoelekea kwenye vivutio vya utalii nchini ili kuvitangaza na kuinua uchumi.
Mhe. Kakunda ameyasema hayo leo wilayani Mufindi mkoani Iringa wakati akifunga mashindano ya mchezo wa golf uliofikia kilele katika viwanja vya Unilever Mufindi kama sehemu ya maadhimisho ya utalii yajulikanayo kama UTALII KARIBU KUSINI yaliyozinduliwa mapema […]

Habari za Wizara

TARURA yapongezwa kwa usimamizi mzuri wa ujenzi daraja la Chipanga

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Seleman Jafo akisikiliza maelezo ya Mkuu wa Wilaya ya Bahi Bi. Elizabeth Kitundu wakati alipokuwa kwenye ziara ya kikazi ya kukagua maendeleo ya miradi inayotekelezwa katika Halmashauri ya Wilaya ya Bahi, Jijini Dodoma. wakati alipokuwa kwenye ziara ya kikazi katika Halmashauri ya Wilaya […]

Habari za Wizara

JAFO ataka takwimu sahihi

 
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Seleman Jafo akisistiza umuhimu wa matumizi sahihi ya takwimu nchini wakati akifungua kikao kazi cha kutambulisha mfumo wa Kielekroniki wa rejista ya wakazi kilichofanyika katika ukumbi wa Hazina Jijini Dodoma.
Angela Msimbira OR-TAMISEMI
Imeelezwa kuwa utumiaji wa takwimu sahihi ni msingi  mkuu wa kuwezesha kupanga mipango  na […]

Habari za Wizara

Wakandarasi wa barabara wanapaswa kusimamiwa – Jafo

 Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Selemani Jafo akionyeshwa ramani ya mpangilio wa miundombinu katika Halmashauri ya Jiji la Dodoma leo kwenye ziara yake ya kikazi ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa miundombini ya Barabara, Stendi na Soko inayotekelezwa na Halmashauri ya jiji la Dodoma.
Angela Msimbira  OR-TAMISEMI
Waziri wa Nchi Ofisi ya […]

Habari za Wizara

Kandege awapongeza wananchi wa Kata ya Lubanda

 
Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe Josephat Sinkamba Kandege akikagua moja ya jengo la kituo cha afya cha Lubanda, Wilayani
Angela Msimbira OR –TAMISEMI
Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe Josephat Sinkamba Kandege amewapongeza wananchi wa Kata ya Lubanda Wilayani Ileje kwa kuchangia na kujitolea katika shughuli […]

Habari za mikoani

Kituo cha Afya Ileje kikamilike kwa wakati- Naibu Waziri Kandege

Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI) Josephat Kandege (aliyevaa koti jeupe) akitoka kukagua ujenzi wa kituo cha Afya cha Lubanda kinachoonekana nyuma yake na kuhimiza ujenzi wa kituo hicho ukamilike kwa wakati uliopangwa.
Na. Grace Gwama -Songwe RS
Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI) Josephat Kandege amefanya ziara ya kikazi Wilaya […]

Habari za mikoani

Ramli ya Lamba lamba Yapigwa Marufuku Songwe

Mkuu wa Mkoa wa Chiku Gallawa akizungumza katika kikao cha wadua wa Afya kilichofanyika katika chuo cha Uuguzi Mwambani Mkwajuni-Songwe, Kulia kwake ni Mkuu wa Wilaya ya Songwe Samwel Jeremia na Kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Ileje Joseph Mkude.
Na. Grace Gwama- Songwe RS
Waganga wote wa jadi wanaopiga ramli chonganishi maarufu kama Lambalamba wamepigwa marufuku kufanya shughuli […]

Habari za Wizara

Wadau wazidi kuikumbuka TAMISEMI

Mkataba wa makubaliano kati ya TAMISEMI na mradi wa kuimarisha mifumo ya Afya na ustawi wa jamii (CHSSP) unaotekelezwa na shirika lisilo la kiserikali la John Snow Inc (JSI) ikiwa ni pamoja na kupokea fomu namba 3 ambayo itatumika kwa ajili ya kutoa taarifa jumuishi ya watoto wanaoishi katika mazingira hatarishi ulipokuwa ukisainiwa
Na. Zulfa Mfinanga na Magdalena Stanley
Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais-TAMISEMI […]