Habari za Wizara

OR TAMISEMI Yafunga Mwaka kwa Vituo 300 vya Afya kukarabatiwa

 
Jengo la wazazi katika kituo cha Afya Ikwiriri Moja ya Vitu vya Afya vilivyo karabatiwa kote nchini (Picha na Makta ya OR TAMISEMI)
Na. Atley Kuni- OR TAMISEMI
Naibu Katibu Mkuu anayeshughulikia Afya OR TAMISEMI, Dkt. Zainab Chaula amewashukuru watumishi na wananchi kote nchini kutokana na ushirikiano wanao endelea kuutoa katika zoezi la ujenzi wa vituo vya afya […]