Habari za Wizara

Serikali Yatoa Miezi 3 Ukamilishaji Vituo vya Afya 98

Waziri wa Nchi OR TAMISEMI, Akiwa ziarani wilayani Manyoni kukagua miundombinu ya Afya katika kituo cha Afya Kintinku moja ya Kituo kilichopata fedha katika awamu ya kwanza
 Na Atley Kuni- OR TAMISEMI
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Selemani Said Jafo (Mb) ametoa siku mia moja na ishirini na tatu (123) kuanzia leo (tarehe 10 Julai, 2018) […]

Afya

Serikali yaajiri watumishi 6,180 wa kada ya afya katika halmashauri

Na Mwandishi wetu
Jumla ya waombaji 6,180 kati ya 14,647 wenye sifa za kuajiriwa kwenye kada mbalimbali za afya katika Mamlaka za Serikali za Mitaa wamefanikiwa kuajiriwa na serikali kufuatia kukamilika kwa mchakato wa ajira wa watumishi hao.
Kauli hiyo imetolewa jana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe.Selemani Jafo alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma.
Continue Reading