Habari za Kijamii

TALGWU Msaidieni Mfanyakazi kabla na Baada ya Utumishi wake- Jafo

Waziri wa Nchi OR TAMISEMI Mhe. Seleman Jafo, akitoa hutuba yake kabla ya kuzindua zoezi la uuzaji wa hisa za TALGWU Microfinance Limited Company TMF PLC kwenye ukumbi wa LPF jijini Dodoma
Na. Atley Kuni- OR TAMISEMIĀ 
Waziri wa NchiĀ  Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Seleman Jaffo amezindua zoezi la uuzaji hisa za (TALGWU Microfinance Public Limited Company TMF PLC) […]