Afya

Serikali kujenga Hospitali 67 mpya

Waziri wa Nchi OR TAMISEMI, akikagua Majengo katika kituo cha Afya Kintinku akiwa ameambatana na Mbunge wa Jimbo la Manyoni Mashariki Daniel Mkuta katikati pamoja na Charles Maziku mwenye koti jeupe waliotangulia sambamba na viongozi wengine wa chama na Serikali wanao wafatia kwa nyuma
Na. Atley Kuni- OR TAMISEMI
Serikali imetenga kiasi cha fedha shilingi bilioni105 za kitanzania kwaajili ya ujenzi wa ┬áHospitali 67 za […]

Habari za Wizara

Serikali yafanya Mapitio ya Sera ya Ugatuzi wa Madaraka


Zulfa Mfinanga
SERIKALI imeanza kufanya uchambuzi wa kina juu ya kazi mbalimbali za serikali zinazofanyika katika dhana ya ugatuzi wa madaraka kwa lengo la kuboresha sera mpya ya ugatuzi wa madaraka ili iwe kwenye mfumo wa kisheria.
Hayo yamezungumzwa leo na Naibu Katibu Mkuu elimu kutoka Ofisi ya Rais-TAMISEMI Tixon Nzunda kwenye warsha ya mapitio ya sera ya ugatuaji wa […]