Habari za mikoani

Bil. 1.5 Kujenga Wodi ya Mama na Mtoto Simiyu

Meneja wa Wakala wa Majengo nchini(TBA) Mkoa wa Simiyu.Mhandisi.Likimaitare Naunga (wa pili kulia) akimuonesha Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu(katikati) ramani ya Hospitali ya Rufaa ya Mkoa, mara baada ya Waziri Ummy kutembelea na kuona maendeleo ya Ujenzi wa Jengo la Wagonjwa wa Nje(OPD) la hospitali hiyo Mjini Bariadi, Julai12, 2018.
Na. Stella Kalinga, […]

Habari za Kiuchumi/Kilimo

Maafisa Ugani Wachangia Kuinua Sera ya Viwanda 100 – Jafo

 
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa Majaliwa (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Baadhi ya washiriki wa kikao baina yake na Maafisa Ugani kutoka Halmashauri zote nchini mara baada ya ufunguzi wa kikao hicho leo tarehe 12 Julai, 2018 Jijini Dodoma. Takribani maafisa Ugani 700 wanakutana kwa siku mbili Jijini Dodoma kwa lengo la […]