Afya

Fanyeni Kazi kwa Weledi ili Kuleta Matokeo – Chaula

Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais – TAMISEMI, Dkt. Zainab ChaulaMratibu wa Mpango wa Malipo kwa Ufanisi (RBF) Ofisi ya Rais TAMISEMI, Dkt. Athumani Pembe
Na. Fred Kibano
Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais – TAMISEMI, Dkt. Zainab Chaula, amefunga kikao kazi cha kuwajengea uwezo Wadau wanaotekeleza Programu ya Uimarishaji wa Huduma za afya ya Msingi kwa Matokeo (SPHC for R) […]

Habari za Kiuchumi/Kilimo

Mpango Kazi Utainua Utendaji Katika Sekta ya Kilimo – Nzunda

 
Picha ya pamoja ya Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais – TAMISEMI, Viongozi wa Wizara ya Kilimo na baadhi ya Maafisa Ugani nchini kutoka katika Mikoa na Halmashauri baada ya kuahirishwa kwa kikao hicho Jijini Dodoma jana
 
Zulfa Mfinanga na Magdalena Stanley.
Mpango Kazi Utainua Utendaji Katika Sekta ya Kilimo – Nzunda
Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais-TAMISEMI elimu, Tixon Nzunda, amesema […]