Habari za Wizara

“Lindeni Heshma ya Taaluma Zenu” Nzunda

Naibu Katibu Mkuu anayeshughukia Elimu OR TAMISEMI, Ndugu Tixon Nzunda, alipokuwa akifungua kikaokazi cha Wekahazina wa Mamlaka za Serikali za mitaa jijini Dodoma kwenye ukumbi wa Land Mark (Picha na Atley Kuni- OR TAMISEMI)
Atley Kuni na Zulfa Mfinanga OR TAMISEMI
Naibu Katibu Mkuu anayeshughulikia Elimu ¬†kutoka Ofisi ya Rais-TAMISEMI ¬†Tixon Nzunda amewataka Watunza Hazina nchini kufanya kazi kwa weledi, kuzingatia misingi ya uwajibikaji na […]