Habari za Wizara

Wadau wazidi kuikumbuka TAMISEMI

Mkataba wa makubaliano kati ya TAMISEMI na mradi wa kuimarisha mifumo ya Afya na ustawi wa jamii (CHSSP) unaotekelezwa na shirika lisilo la kiserikali la John Snow Inc (JSI) ikiwa ni pamoja na kupokea fomu namba 3 ambayo itatumika kwa ajili ya kutoa taarifa jumuishi ya watoto wanaoishi katika mazingira hatarishi ulipokuwa ukisainiwa
Na. Zulfa Mfinanga na Magdalena Stanley
Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais-TAMISEMI […]

Habari za Wizara

Wataalam wa Mikoa waaswa kuzijengea uwezo Halmashauri

Mkurugenzi Msaidizi wa Mamlaka za Serikali za Mitaa anayeshughulikia masuala ya fedha kutoka Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Shomari Mukhandi alipokuwa akifungua mafunzo ya siku tano ya mipango na bajeti na mafunzo ya mwongozo wa kusoma na kuelewa taarifa za fedha kwa wataalam wa Sekretarieti za mikoa
Atley Kuni na Zulfa Mfinanga – OR TAMISEMI
Wataalam washauri wa mikoa wameswa  kusimamia na kushughulikia […]

Habari za mikoani

Wizara ya Madini yakabidhi eneo ujenzi wa Kituo cha Umahiri

Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe. Anthony Mtaka (katikati) akishuhudia makabidhiano ya nyaraka za Ujenzi wa Kituo Mahiri cha Mkoa wa Simiyu kati ya Meneja wa SUMA JKT Kanda ya Ziwa Luteni Kanali Petro Ngata na Meneja na Mradi wa Usimamizi Endelevu wa Rasilimali Madini (SMMRP), Bw. Andrew Erio kutoka Wizara ya Madini, yaliyofanyika jana katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, […]