Michezo

KAKUNDA AAGIZA TARURA KUJENGA BARABARA ZA VIVUTIO VYA UTALII

Na. Fred Kibano
Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR TAMISEMI) Mhe. George Kakunda, ameuagiza Wakala wa Barabara za Mijini na Vijijini (TARURA), kuweka mipango ya kuboresha barabara zote zinazoelekea kwenye vivutio vya utalii nchini ili kuvitangaza na kuinua uchumi.
Mhe. Kakunda ameyasema hayo leo wilayani Mufindi mkoani Iringa wakati akifunga mashindano ya mchezo wa golf uliofikia kilele katika viwanja vya Unilever Mufindi kama sehemu ya maadhimisho ya utalii yajulikanayo kama UTALII KARIBU KUSINI yaliyozinduliwa mapema […]