Habari za mikoani

“E Readers” Msaada kwa Wanafunzi nchini

Bi. Deodata Nkwera, Mwl Mkuu Dunda Sekondari akikazia Wanafunzi kutumia programu ya ‘e reader’
Na Veronica Luhaga H/w Bagamoyo.
Progaramu ya mfumo wa kieletroniki wa mafunzo ya lugha ya kingereza (electronic reading e-reader) imeendelea kuwa mkombozi kwa wanafunzi wa kidato cha kwanza nchini katika kuwaimarisha na kuwezesha kuzungumza Lugha ya Kingereza kwa ufasaha.
Hali hiyo imebainika wakati wa tathmini ya uelewa kwa wanafunzi walioanza kutumia program […]

Habari za Wizara

Wakuu wa Mikoa Mjitathmini – Mhandisi Iyombe

Katibu Mkuu OR TAMISEMI, Mhandisi Mussa Iyombe, akifunga kikao cha Wakuu wa Mikoa na Makatibu Tawala wa Mikoa ya Tanzania Bara kuhusu tathmini ya Mkataba wa Lishe na Viongozi hao ulioingiwa baina yao na Waziri wa Nchi mwishoni mwa mwaka 2017.
Angela Msimbira OR-TAMISEMI
Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhandisi Musa Iyombe amewataka Wakuu wa Mikoa na Mkatibu […]

Habari za mikoani

Wanafunzi Simiyu Wawatahadharisha Wasimamizi wa Mitihani

Baadhi ya wanafunzi wa darasa la saba Mjini Bariadi wakinyosha mikono ili kujibu maswali waliyokuwa wakiulizwa na Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mhe. Anthony Mtaka(hayupo pichani) wakati akizungumza nao kwa lengo la kuwatakia kila la heri wanapojiandaa kuelekea kwenye Mtihani wa Taifa wa Kumaliza Darasa la Saba utakaofanyika Septemba 05 na 06, 2018
Na. Stella Kalinga, Simiyu RS
Wanafunzi wa darasa la saba ktoka shule […]

Habari za Wizara

Chaula ataka Mikoa Kuhuishwa na Mfumo Mpya wa MUKI

Naibu katibu Mkuu anayeshughulikia afya Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR – TAMISEMI) Dkt. Zainab Chaula akiongoza kikao kazi kuhusu Mfumo wa Ujifunzaji wa Kieletroniki (MUKI), baadhi ya wajumbe wake ni Menejimenti ya OR TAMISEMI, PS3,  Chuo Kikuu Huria cha TAnzania na Chuo cha Serikali za Mitaa Hombolo (LGTI) Jijini Dodoma leo
Na. Magdalena Dyauli na Fred kibano
Naibu katibu Mkuu […]

mikoani

Mapato ya Hospitali Kondoa Mji yaboresha huduma za Maabara

Mwonekano wa ndani wa jengo la maabara ya Kondoa Mji baada ya kufanyiwa ukarabati
Na. Sekela Mwasubila.
Hospitali ya Halmashauri ya Mji Kondoa imekarabati jengo la maabara hali iliyopelekea kuboreshwa kwa huduma za vipimo katika hospitali hiyo.
Hayo yamebainishwa na Mganga Mkuu wa Hospitali hiyo Dkt. Eusebi Kessy alipokuwa akiongelea ukarabati wa maabara hiyo ofisini kwake hivi karibuni.
Alisema kuwa ukarabati huo umefanyika […]

Habari Kitaifa

TAMISEMI Yatangaza Vituo vya Kazi Ajira Mpya za Walimu na Mafundi Sanifu 2,160

Na. Fred Kibano
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. Selemani S. Jafo akitangaza kupangiwa vituo kwa walimu na Mafundi Sanifu wapya katika halmashauri nchini Jijini Dodoma leo. Kulia kwake ni Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI Joseph G. Kakunda
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR – TAMISEMI) Mhe. Selemani Jafo, […]

Habari Kitaifa

Serikali Kuwachukulia Hatua Waliozisababishia Halmashauri Hati Chafu

Na. Zulfa Mfinanga
Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR – TAMISEMI), Joseph Kakunda amesema serikali imeanza kuwachukulia hatua za kinidhamu watumishi wote wa halmashauri nchini waliosababishia halmashauri zao kupata hati chafu na zenye mashaka katika Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali kwa Mamlaka za Serikali za Mitaa ya mwaka 2016/2017.

Habari za Wizara

Jafo awapongeza Wadau wa Maendeleo ya Sekta ya Afya

Baadhi ya wadau wa Maendeleo ya Sekta ya afya wakimsikiliza Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Selemani Jafo (hayupo Pichani) wakati akifunga mkutano wa wadau wa maendeleo katika sekta ya afya uliofanyika katika ukumbi wa Kilimani leo Jijini Dodoma
 
Na.Angela Msimbira OR-TAMISEMI
Waziri wa Nchi Ofisi  ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali […]

Habari za Wizara

MTAKA awapa somo Waganga Wakuu wa Mikoa,Wilaya.

 
Naibu Katibu Mkuu Afya, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Dkt. Zainabu Chaula akisisitiza umuhimu wa kujenga mshikamano katika utendaji kazi kwenye Mkutano Mkuu wa Waganga Wakuu wa Mikoa na Wilaya uliofanyika leo katika ukumbi wa Mikutano LAPF Jijini Dodoma.
Na. Angela Msimbira OR-TAMISEMI
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe Antony Mtaka amewataka Waganga Wakuu wa Mikoa […]