Elimu

Jafo akemea vitendo vya Unyanyasaji na upendeleo wa walimu na wanafunzi

Na Mathew Kwembe, Dodoma
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Selemani Jafo amewaagiza maafisa wa elimu wa mikoa na wilaya kuzingatia maadili kwa kuepuka vitendo vya upendeleo na unyanyasa wa walimu na wanafunzi.
Pia amewataka kujuepusha na suala la uvujishaji mitihani, rushwa na utovu wa maadili.

 
Katika hotuba yake ilisomwa na Naibu Waziri, Joseph […]

Habari za mikoani

DC Bagamoyo awapa onyo Watendaji wa Vijiji

MKUU wa wilaya ya Bagamoyo, Mhe. Zainab Kawawa alipokuwa akiongea na watendaji wa Vijiji wilayani humo
MKUU wa wilaya ya Bagamoyo, Mhe. Zainab Kawawa ametoa onyo kwa baadhi ya viongozi wa Vijiji na Watendaji wanaoshiriki kukaribisha wafugaji bila kufuata utaratibu huku  akiwataka waache mara moja tabia hiyo kwani ndio kichocheo cha uvunjifu wa amani na migogoro baina ya Wafugaji na […]

Habari za Wizara

TEHAMA kuongeza ufanisi kwa mtumishi wa afya ngazi ya zahanati

 
Baadhi ya wadau wa afya kutoka katika timu za usimamizi wa huduma za afya Mikoa na timu za usimamizi na uendeshaji wa huduma ya afya katika Halmashauri (CHMT) wakimsikiliza Afisa Tehama Bi. Sultana Seif Afisa TEHAMA kutoka Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto ( hayupo pichani) akieleza umuhimu wa kuwa na takwimu sahihi kuanzia ngazi […]

Habari za Wizara

Serikali Yataka Matokeo Chanya Mfumo wa Ugavi na Usambazaji Dawa

Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mhandisi Mussa Iyombe (aliyekaa mbele), akimsikiliza Naibu Katibu Mkuu (Afya) Ofisi ya Rais – TAMISEMI, Dkt. Zainab Chaula (kulia kwake) akifafanua jambo wakati wa kikao cha wadau wa afya kilichofanyika leo Jijini Dodoma katika ukumbi wa TAMISEMI
Na. Zulfa Mfinanga na Magdalena Dyauli
Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na […]

Habari za mikoani

Sita Mbaroni kwa tuhuma za wizi wa fedha za Serikali Nyang’wale

Waziri wa Nchi Ofsis ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Selemani Jafo akisisitiza jambo wakati akikagua miradi ya maendeleo inayotekelezwa katika Halmashauri ya Wilaya ya Nyangw’ale, Mkoani Geita.
Na. Angela Msimbira OR-TAMISEMI
Watumishi sita pamoja na aliyekuwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Nyang’wale wanashikiliwa na Jeshi la polisi Mkoani Geita baada kubainika kuchezea fedha za […]

Habari za Wizara

Jafo atoa mwezi mmoja kufanya uchambuzi wa ubadhilifu wa mapato Hanang

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Selemani Jafo akiongea na viongozi Mkoa, Madiwani na wataalam kwenye kikao cha Baraza la Madiwani na wataalam wa Halmashauri ya Wilaya ya Hanang kilichofanyika leo, Mkoani Manyara.
 
Angela Msimbira  OR-TAMISEMI
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa. Mhe. Selemani […]