Naibu Katibu Mkuu anayeshughulikia elimu OR-TAMISEMI Ndugu Tixon Nzunda, akifungua mafunzo ya maafisa elimu kutoka Wilaya na Mkoa wa Singida juu ya mfumo wa upimaji utendaji kazi kwa njia ya wazi OPRAS jijini Dodoma katika ukumbi wa Land Mark (Picha na Atley Kuni- OR-TAMISEMI)
Na. Atley Kuni, OR-TAMISEMI.
Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa […]
Month: October 2018
Dmdp Yaleta Mabadiliko Jijini Dar es Salaam
Nteghenjwa Hosseah, OR-TAMISEMI.
Mratibu wa Miradi inayofadhiliwa na Benki ya Dunia chini ya Ofisi ya Rais TAMISEMI Eng. Davis Shemangale(aliyesimama) akifungua kikao cha mapitio ya utekelezaji wa mradi wa uendelezaji wa Jiji la Dar es Salaam (Dmdp) kilichofanyika kwenye Ukumbi wa Lapf Jijini Dar es salaam.
Continue Reading
Heri ya Siku yakuzaliwa kwa Mhe.Rais
Jafo apiga marufuku Wakuu wa Mikoa na Wilaya kuwaswekwa ndani Madaktari
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Selemani Jafo akifunga mkutano wa hamsini wa taaluma wa Chama cha Madaktari Tanzania uliofanyika leo katika ukumbi wa St. Gasper, Jijini Dodoma
Na. Angela Msimbira OR-TAMISEMI
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Selemani Jafo amewataka Wakuu wa Mikoa na […]
Halmashauri zaagizwa kutenga bajeti kwa watoto wenye vichwa vikubwa na mgongo wazi.
Waziri wa Nchi Ofisi YA Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mikoa Mhe. Selemani Jafo (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na watoto wenye matatizo ya kichwa kikubwa na mgongo wazi kwenye maadhimisho ya kitaifa ya siku ya watoto wenye vichwa vikubwa na mgongo wazi duniani yaliyofanyika leo katika viwanja vya Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma.
Na […]
Ajenda ya Mapato
JAFO awaagiza watumishi wa umma kusimamia miradi ya maendeleo kwa weledi
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Selemani Jafo akionge kwenye mikutano wa Viongozi na Watumishi wa Wilaya ya Meatu wakati akiwa kwenye ziara yake ya kikazi ya kukagua maendeleo ya miradi mbalimbali inayotekelezwa Mkoani Simiyu.
Mwandishi wetu, Meatu
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Selemani Jafo amewataka […]
Jafo afurahishwa na ubora wa viwango vya ujenzi wa miradi ya maendeleo
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe Selemani Jafo akisoma uzito wa mtoto katika kliniki ya watoto kituo cha afya Buzuruga na anayeshuhudia pembeni yake ni Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. John V.K. Mongella wakati alipofanya ziara yake ya kikazi hivi karibuni Mkoani Mwanza.
Mwandishi wetu, Mwanza
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za […]
OPRAS Ni njia Muhimu ya Kuleta Ufanisi wa Watumishi
Mkurugenzi wa Rasilimali watu kutoka Tume wa Utumishi wa Walimu Ndg Moses Chitanda akifungua mafunzo ya siku mbili kwa Maafisa Elimu wa Mkoa wa Manyara kuhusu Mfumo wa OPRAS yanayofanyika mkoani Dodoma
Na. Atley Kuni- OR TAMISEMI
Imeelezwa kuwa moja ya njia itakayowezesha taifa liweze kupiga hatua katika nyanja mbali mbali za maendeleo ni kwa taifa hilo kujiwekea mazingira ya kupima […]
Ma DC na Ma DED Waaswa Kutatua Kero za Wananchi
Na Fred Kibano
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Wakuu wa Wilaya (waliosimama), waliokaa kushoto kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dkt. Belinith Mahenge na Kaidari Singo Kaimu Mkurugenzi Taasisi ya Uongozi Tanzania, kushoto ni Katibu Mkuu Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhandisi Mussa Iyombe na Dkt. Charles Mhina Mkurugenzi wa […]