Habari Kitaifa

Jafo Atoa Onyo kali kwa Mtendaji Mkuu wa DART

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR TAMISEMI) Selemani Jafo, akitoa onyo kali kwa Mtendaji Mkuu wa Mabasi Yaendayo Haraka maarufu kama Mwendo Kasi DART Lonald Rwakatale alipokuwa akiongea na Waandishi wa Habari Jijini Dodoma leo
 
Na Fred Kibano
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR TAMISEMI)┬áSelemani Jafo, […]

Mafunzo

TAMISEMI, PS3 na TSC Kuboresha OPRAS ya Walimu kwa Matokeo

 
Na. Fred Kibano
Mkurugenzi wa Serikali za Mitaa Ofisi ya Rais TAMISEMI Dkt. Charles Mhina, amefungua mafunzo ya kuongeza ufanisi wa utekelezaji wa OPRAS kwa ajili ya walimu wanaofundisha darasani kwa wawezeshaji wa Kitaifa Jijini Dodoma na kuwataka washiriki kuleta matokeo chanya katika sekta ya Umma nchini.
Mkurugenzi wa Serikali za Mitaa Ofisi ya Rais TAMISEMI Dkt.Charles Mhina akiwa katika picha […]