Afya

Serikali Yaagiza Waganga Wakuu wa Wilaya Kusimamia Ujenzi Vituo vya Afya

 
Naibu Katibu Mkuu (Afya) Dkt. Zainab Chaula akiwa pamoja na wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali na Kamati ya Ofisi ya Rais TAMISEMI walipotembelea kituo cha afya Mlali wilayani Kongwa Dodoma
 
Na Zulfa Mfinanga
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) anayeshughulikia afya Mhe. Josephat Kandege amewataka Waganga […]