Habari za mikoani

Mji Njombe, Yajizatiti ukusanya Mapato

Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji Njombe Edwin Mwanzinga akimkabidhi funguo ya pikipiki Mtendaji wa Kata ya Lugenge Khadija Lutumo wakati wa utoaji wa mkopo wa pikipiki kwa watendaji wa Kata Halmashauri ya Mji Njombe
Hyasinta Kissima- Afisa Habari , H/Mji Njombe.
Halmashauri ya Mji Njombe imejizatiti katika ukusanyaji mapato kwa kutatua changamoto ya upungufu wa vitendea kazi mara baada ya watendaji wa Kata katika Halmashauri […]